Octoba 15 2015 taarifa ya majonzi ilitufikia kuhusu kifo cha mbunge wa Ludewa Deo Haule Filikunjombe na aliyekuwa Baba mzazi wa meya wa Ilala, William Silaa baada ya kupata ajali ya helikopta iliyoanguka katika mbuga ya Selous.
Sasa leo Octoba 18, 2015 Dar es Salaam kulifanyika mazishi ya Baba mzazi wa meya wa Ilala, William Silaa ambapo katika mazishi hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikalini akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr.Reginald Mengi ni miongoni waliohudhuria kwenye mazishi ya marehemu William Silaa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni waliohudhuria mazishi ya marehemu William Silaa ambaye alifariki kwenye ajali ya Helikopta Octoba 15, 2015.
Picha:Freddie
Post a Comment