Social Icons

Loading...

BREAK NEWZZZ!!! MTANGAZAJI MAARUFU WA CLOUDS AFARIKI DUNIA...SOMA HAPA...

 Mtangazaji maarufu nchini Tanzania Prince Baina Kamukulu amefariki dunia leo alfajiri.

Kamukulu amefariki dunia katika hospitali ya Kigamboni jijini Dar es salaam  ambapo taarifa za awali zinadai kuwa alianguka akiwa mazoezini kisha kukimbizwa katika hospitali hiyo jana usiku.

Kamukulu aliwahi kuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Afrika Bambataa cha Clouds Fm,pia amewahi kufanya kazi Star Tv na Radio Free Africa.

R.I.P Kamukulu
==>www.jamiiyetubongo.com
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top