Social Icons

Loading...

BREAKING NEWZZZ!!! BUNGENI KIMENUKA WAMBUNGE WA UPINZANI WAMZOMEA RAIS,WATOLEWA NJE...SOMA KISA KAMILI HAPA...


Wabunge wa Upinzani katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Watanzania Wanazomea Bungeni mara baada ya Kutangazwa Kuingia kwa Rais wa Zanzibar Mh Dk Ali Mohamed Shein.Wanachopinga wabunge hao wanadai hawamtambui Dk Shein Kama RaisHalali wa Zanzibar.Hali hiyo ilianza pale Naibu spika alipomuita Mwanasheria Mkuu wa Serikali  Kutengua Kanuni ili Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wameze Kuongozana  na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Magufuli wakati atakapokuja Kulihutubia Bunge na Kulizindua Rasmi ,Wabunge hao waliaanza Kupiga kelele Mara Baad ya Kutangazwa kuingia kwa Spika wa Baraza la Wakilishi Zanziba,Makamu wa Pili wa Rais ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  Pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.. 
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top