Social Icons

Loading...

BREAKING NEWZZZZ!!! BODA BODA WAANDAMANA KISA MWENZAO,WAFUNGA BARABARA,MABOMU YA MACHOZI YATUMIKA ,DAKTARI MKUU AONGEA...


Wakitoa malalamiko yao na baadaye kufanya maandamano hadi ofisi ya mkuu wa jeshi la polisi wamesema baada ya mwenzao kupigwa hakuna hatua zozote zimechukuliwa na jeshi hilo.Kutokana na usumbufu wa kuzuia magari na kuwazuwia baadhi yao ambao walikuwa wakifanya biashara ya kupeleka abiria jeshi la polisi baada ya kuwaomba kufungua barabara na kukaidi amri hiyo liliamua kutumina nguvu kwa kupiga mabomu ya machozi na kufanikiwa kuwatawanya huku wengine wakishikiliwa.Kwa upande wake daktari wa mkoa wa Singida, Daktari Geofry Mgeta amesema kuwa hakuna mgonjwa aliye fikishwa hospitalini  akiwa majeruhi kwa kupigwa na chuma la kufungulia matairi na kupatiwa rufaa ya matibabu nje ya mkoa isipokuwa wana wagonjwa madereva wawili wa bodaboda walio pigwa na kutaka kuchinjwa wakati wakitaka kuporwa pikipiki zao. Akiongea kwa njia ya simu kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida Thobiasi Sedoyeka amekiri kuwepo kwa tukio hilo na kusema kuwa askari wa jeshi la polisi aliyegongana na pikipiki, wakati wanafanya utaratibu wa kisheria ndipo vurugu zilipoanza na madereva wa bodaboda walitaka kuchoma moto gari lake nayeye kuamua kujilinda kwa kuchukuwa spana ya kufungulia tairi na kumpiganayo dereva wa bodaboda.
==>Jamiiyetubongo.com

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top