
Dunia hii inaelekea
ukingoni ukiona mambo yanayotokea kwenye
ardhi hii utagundua tupo kwenye hatua za mwisho kabla ya hukumu kuikumba Dunia.
maskanibongotz mzigoni Mtandao huu wa maskanibongotz kupitia msaada wa mitandao
mingine ya kimataifa nchini Jamaica umenasa taarifa za siri za Kanisa moja
nchini humo ambalo waumini wake hubatizwa wakiwa uchi na Pasta wake huwabusu
kwenye makalio kabla ya kuzamishwa baharini kwa ajiri ya kumpokea bwana wao.
Pichani kama inavyoonesha wanaumini hao wakiwa wamepiga magoti na kutizama
baharini ambapo mbele yao kuna mchungaji mwingine akiwabariki lakini nyuma yao
kuna mchungaji anaewabusu kwenye makalio na kusema maneno kadhaa ya Mungu wao
wanaomjua wao ambae si Mungu wetu huyu aliyeumba Mbingu na Ardhi au mungu
unaemjua wewe na mimi ambae si Mungu wa masihara kwamwe. Credit:maskanibongotz
Post a Comment