
Kwa mara ya kwanza toka nimekatwa mguu miaka 6
iliyopita leo nimechukua nafasi hii kupost hii pic kuondoa maswali mengi
yaliyopo vichwani mwa watu
Nipo kama unavyoiona pic
Huyo ndio wastara nilivyo hakuna kilichopungua zaidi
ya hicho unachokiona
Kuwa mlemavu ni kitu kingine tofauti ukiwa mzima
hivyo kusikia maumivu na kuumwa mguu ni kitu cha kawaida
Sasa nipo nairobi kimatibabu na tatizo ni operetion
ya kwanza nilikosewa ndio sababu ya maumivu ya mara kwa mara madaktari
wameshajua nini cha kunifanya ili kuondoa mateso kwangu
Jifunze kitu kupitia hii pic yangu na si kucoment
ujinga jiulize ungekuwa wew mama yako dada yako mume,mke, wako ungeweza kusmile
kma mimi hali ya kuwa una maumivu?Kwa Mara ya Kwanza Wastara Aonyesha Miguu
Yake na Kuandika Mazito
Jifunze kitu kupitia wastara
na sijajidharirisha nimetaka wewe unijue nilivyo ili
usiteseke na maswali juu yangu
Sijakatwa miguu yote kma ilivyovumishwa na pia
pamoja na maumivu ninaweza kutembea japo si mwendo mrefu sana na naendelea
kusmile
SOTE TUSEME ALHMADULILAH
ASANTE MUNGU
Post a Comment