Social Icons

Loading...

JE MUME WA FLORA MBASHA KAKUBALI KURUDIANA NA MKEWE?? SOMA STORI YOTE HAPA ALICHOKISEMA...

Ni zaidi ya mwaka mmoja umepita tangu wawili hawa hawako kwenye ndoa yao,Emmanuel pamoja na Flora Mbasha… vitu vingi vimepita hapo katikati ikiwemo ishu ya kesi za Mahakamani.
Ndoa yao itarudi baada ya kuisha kwa kesi ya madai ya talaka? Emmanuel amesema inahitaji muda wa kukaa na kutafakari kabla ya kuamua chochote kwa sasa…
Friola
Emmanuel na Flora Mbasha enzi hizo kabla hawajatengana.
Emmanuel Mbasha amesema japo walikuwa kwenye kambi mbili tofauti kwenye Kampeni haimaanishi kwamba kulikuwa na tofauti yoyote iliyofanya wasirudiane…Emmanuel alionekana na Dokii kwenye Kampeni lakini anasema kila mmoja ana maisha yake, hakuna chochote kilichoendelea kati yao

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top