Social Icons

Loading...

JE TIMU ZINAFANYA UCHAWI KUELEKEA MICHEZO MBALIMBALI...ANGALIA NA SOMA WALICHOKIFANYA TP MAZEMBE KUELEKEA MCHEZO WA FAINALI...

Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jumapili ya November 8 itacheza mchezo wake wa pili wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na USM Alger yaAlgeria mjini LubumbashiTP Mazembe watacheza mchezo huo wa pili wakiwa na kumbukumbu nzuri ya kuifunga USM Alger katika mchezo wa kwanza uliyochezwaAlgeria kwa jumla ya goli 2-1.
DSC_0080
Wachezaji wa TP Mazembe wakiwa kanisani
Kuelekea mchezo huo klabu ya TP Mazembe wamefanya kitu tofauti kidogo na timu nyingi za Afrika ambazo tumezoea kuona zikihusishwa na imani za kishirikina, hususani zikiwa zinaelekea katika mechi ngumu kama hiyo, TP Mazembe walikusanyika na mashabiki wao na mmiliki wa klabu hiyo Moise Katumbi Chapwe na kwenda pamoja kufanya ibada kanisani ili kuomba mungu wapate matokeo mazuri.
DSC_0084

Kitendo walichofanya TP Mazembe inaripotiwa kuwa huwa ni kawaida yao kufanya ibada hususani wakiwa wanaelekea katika mchezo mgumu, hii inashangaza kidogo kwani kwa kumbukumbu za karibuni haijawahi kufanywa na klabu za Tanzania zaidi ya kusadikiwa kufanya ushirikina katika mechi zao.
DSC_0097


author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top