Healines kwa siku ya November 18 ni juu ya nani atakuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kabla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli November 19 kupendekeza jina la waziri mkuu Kassim Majaliwa Kassim ambaye ataapishwa Ijumaa ya November 20 Dodoma.
Kassim Majaliwa ambaye ni mbunge wa Ruangwa sio jina geni katika medani za soka, kama unakumbuka vizuri Kassim Majaliwa aliwahi kuwa kocha wa mpira wa miguu na aliwahi kuifundisha klabu ya Singida United, kazi ya ukocha kwa waziri mkuu huyo haikuwa ya kubahatisha bali alikuwa akitambulika rasmi kama kocha mwenye leseni daraja B na shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF).
Burundi ambao walikuwa na nyota wao kadhaa akiwemo Didier Kavumbaguanayekipiga katika klabu ya Azam FC ya Tanzania walikuwa wakiutawala mchezo kwa wastani kumiliki mpira kwa asilimia 56 katika kipindi cha kwanza wakati Zanzibarwalikuwa na asilimia 44 za umiliki wa mpira kwa dakika zote 45 za kwanza.
Mchezo huo ambao Burundi walikuwa wakifika sana langoni kwa Zanzibar Heroes hadi wanaenda mapumziko walikuwa wanaongoza kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Didier Kavumbagu dakika ya 38. Licha ya kipindi cha pili Zanzibar kutafuta nafasi ya kusawazisha goli hilo haikuwezekana
Post a Comment