Matokeo hadi sasa dk ya 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika ; TAIFA STARS:2
ALGERIA: 0
Goli la Taifa star limetiwa nyavuni na Mshambuliaji mahiri Elias Maguli dakika ya 43.
Katika kipindi cha kwanza Taifa Stars wamecheza vizuri huku Safu ya Ushambuliaji ikiongozwa na Mbwana Samatta,Thomas Ulimwenu,Shomari Kapombe pamoja na Mfungaji Elias Maguli,ambao wamekuwa mwiba kwenye lango la Algeria Muda wote wa dakika 45 za mwanzoni.Huku safu ya kiungo ikiongozwa na Mao,Cannavaro pamoja na Kelvin Yondan ikifanya vizuri.
Tutaendelea kuwaletea kila kinachotokea uwanjani,
Goli la pili limefungwa na Mbwana Samatta.
TEMBELEA www.mawingubongo.blogspot.com
Post a Comment