Waziri Mkuu wa Ukraine, Arseny Yatsenyuk alikuwa amesimama mbele akiendelea na kuhutubia Bunge, Mbunge mmoja wa upinzani akamfuata na kumpa shada la maua.
Basi ile baada ya Waziri Mkuu kupokea tu hilo shada, jamaa alimbeba juujuu na kumwondoa kama anampeleka nje ya Bunge hivi… utata ukaanzia hapo, malumbano yakaendelea huku Wabunge wa chama tawala wakimgeuzia kibao Mbunge huyo na kuanza kumpiga.
Post a Comment