December 17 uongozi wa club ya soka ya Chelsea kupitia kwa mmiliki wakeRoman Abramovich ulitangaza uamuzi wa kumfuta kazi kocha Jose Mourinho baada ya kuongoza Chelsea mechi 16 msimu huu, kufungwa tisa, kushinda nne na kutoa sare mechi tatu.
Loading...
Post a Comment