Aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameamua kuweka wazi kuwa japokuwa wamegombana na mume wake bado anampenda na kumthamini kama Baba wa mtoto wake.
Kupitia kwenye mtandao wake wa instagram amepost picha ya Sugu na kuandika>>Alie kwambia simpendi nani ???? Nampenda ndio maana nili zaa nae na sio lazima nilale nae na kuamka nae ndio mjue nampenda – unaweza unampenda mtu kwa mbali na bado ukasimama kwenye ukweli tu – kwa mimi that’s true love – – oh yes nampenda na nina mpenzi tunapenda ! So what?????‘aliandika
Alie kwambia simpendi nani ???? Nampenda ndio maana nili zaa nae 😍😍😍 na sio lzm nilale nae na kuamka nae ndio mjue nampenda - unaweza unampenda mtu kwa mbali na bado ukasimama kwenye ukweli tu - kwa mm that's true love - 📌 - oh yes nampenda na ninampenzi tunapenda ! So what?????
Post a Comment