Social Icons

Loading...

Kailima Kombwey: Ninayo takwimu ya waliojiandikisha kushiriki kupiga kura Uchaguzi 2015...Soma hapa...


Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi 2015 leo Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, Kailima Kombwey ametoa takwimu au idadi ya watanzania waliojiandikisha kwa ajili ya kupiga kura kwenye Uchaguzi mkuu 2015.
Taarifa nyingine ni hii iliyotolewa October 12, 2015 kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi >>> Leo tume ya Uchaguzi ilikuwa imekutana na vyama vya kisiasa kuwapa taarifa kuhusu maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 25 kwa sababu zilikuwa zimebaki siku 12 au 11 sasa miongoni mwa taarifa za msingi ambazo walikuwa wazipate kwanza kuhusu shughuli za mchakato wa daftari la upigaji kura limeshatoka na tayari yameshapelekwa mikoani” – Kailima Kombey.
Tume ya taifa ya uchaguzi ilitoa ilitoa taarifa ya awali takwimu ya watu walioandikishwa ni idadi ya watu milioni 23,782,558 hiyo ndio taarifa ya kwanza tulizozitoa  za jumla za wapiga kura waliojiandikisha na takwimu zilizotoka kwenye vituo vya kupigia kura Tume ikabaini watu 181,452 walikuwa wamejiandikisha zaidi ya mara mbili wameshatolewa kwa hiyo taarifa zao zimeondolewa – Kailima Kombey.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top