October 29 2015 zi siku ambayo vichwa
vya habari magazetini vimetawaliwa na stori ya kuahirishwa Uchaguzi mkuu
Zanzibar pamoja na matokeo yake yote kufutwa.
Hiyo ni habari iliyotokana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC, Jecha Salim Jecha kutangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi huo huku akitaja sababu za matokeo hayo kufutwa.
Hapa ni video ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi NEC, Jaji Damian Lubuva akitaja sababu na kuthibitisha kwamba matokeo ya Uchaguzi mkuu Tanzania bara yataendelea kutolewa.
Post a Comment