Kikao cha Bunge kwa leo November 19 2015 kimemalizana na kile ambacho kilikuwepo kwenye Ratiba ya Bunge… kwanza ilikuwa ni kutajwa jina la Waziri Mkuu pamoja na kumthibitisha, hilo limekamilika… kingine ilikuwa kumchagua na kumwapisha Naibu Spika wa Bunge, nalo limefanyika.
Loading...
Home » Unlabelled » BAADA TU YA KUDHIBITISHWA NA BUNGE KASSIM MAJALIWA ATOA MANENO MAZITO ...SOMA HAPA
Post a Comment