Social Icons

Loading...

BAWACHA ARUSHA:TUTATEMBEA UCHI KAMA SOUTH AFRICA ENDAPO NEC ITATUHUJUMU UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE ARUSHA...HATUTAKUBALI GOLI LA MKONO...

Mfano wa Wanawake Hawa wa South Africa Walipo Andamana Kuishinikiza Serekali kukubali Mapenzi ya Jinsia Moja
Mwenyekiti wa Baraza la wanawake CHADEMA Mkoani Arusha, amesema watafanya maandamao wakiwa uchi iwapo watahujumiwa au kama NEC wataleta mambo ya Goli la Mkono katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge unategemewa kifanyika.

Hatua hiyo imekuja baada ya kusikia CCM wakisema lazima washinde Jimbo la Arusha Mjini kwa sababu ni jimbo muhimu sana
==>>http://www.kengete.com/
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top