Wasanii wa muziiki wa HipHop Marekani, 50 Cent na Rick Ross wanaziandika headlines baada ya wawili hao kufufua beef kati yao kwenye social media… ugomvi ulianza siku ya ijumaa baada ya 50 Cent kupost picha kwenye Instagram Tshrt ya kumkejeli Rick Ross na maneno yaliyosema ” Lmao sina cha kufanya kwa hiyo nimeamua kuuza hizi Tshirt kwa $2.95″.
Baada ya dakika kadhaa 50 alifuta post hiyo lakini Rick Ross alikuwa ameshakutana nayo, Rozay akaamua kumjibu 50 kupitia page yake ya Twitter, akaandika tweet ya kumshambulia 50 Cent iliyosema; “Forced into #BANKRUPTCY now the Donkey @50cent WORKING 4 #MMG Merch co. selling T’s for 2.95 on the #BLACKMARKET haaa!”
Post a Comment