
Jamaa ana miaka 29 anaitwa
Kaydine Colleman Raia wa Marekani amekuwa mmoja kati ya Wanaume walioshika
mimba na kujifungua.
Taarifa iko hivi,
alizaliwa akiwa mwanamke aliyetimia kabisa na akafanikiwa kupata
mpenzi wa kiume aitwae Elijah, sasa baada ya kufikia miaka 27 akaamua kuanza
harakati za kujibadilisha jinsia kuwa mwanaume, wakati amepewa dawa za awali za
kupunguza Homon za kike mwilini, akagundua kuwa ni mjamzito.
Ameamua kuilea mimba
na sasa hivi ameshajifungua mtoto wa kike, ila ndio hivyo kama anavyoonekana
zoezi limekubali na amekuwa.
Post a Comment