Kumekuwa na stori mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu ishu ya wasanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere na JB kulishwa chakula chenye sumu !!
Hii ni story kwenye ukurasa wa mbele gazeti la KIU la tarehe 13 Novemba 2015
Hii hapa sehemu ya Interview ambayo #AyoTV ilifika nyumbani kwake, Kinondoni Dar es Salaam na kasimulia kila kitu ilivyokuwa akala chakula chenye sumu, matibabu, anachokiamini na kinachoendelea kwa sasa.
Post a Comment