Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli tayari ameapishwa na kuanza kazi… kwa upande wa Wabunge wenyewe bado.
Kinachosubiriwa ni kuitishwa kwa Bunge la 11 ambapo Spika Mteule pamoja naWabunge wote wataapishwa… kingine kitakachofanyika ni uthibitisho wa jina la Waziri Mkuu, uchaguzi wa Naibu Spika na ufunguzi rasmi wa Bunge la 11.
Kulikuwa na stori nyingi sana wakati wa mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu ikiwemo matokeo kukataliwa na baadhi ya Wagombea, kwingine Uchaguzi haukufanyika kabisa, kwingine uchaguzi ulisogezwa mbele kwa sababu mbalimbali. Lakini mpaka leoNovember 11 2015 hapa ninayo majina ya Wabunge 256 ambayo Tume ya Uchaguzi NEC imeyathibitisha kwamba wamepita kwenye Uchaguzi na wanasubiri kuapishwa.
U
Post a Comment