Social Icons

Loading...

HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA:DODOMA MAMBO YAMEIVA RATIBA RASMI YA BUNGE DODMA YATOKA...SOMA HAPA...

Kama umetembelea mitandao ya kijamii utakuwa umeona pilikapilika za kinachoendelea Dodoma sasahivi, baada ya Uchaguzi Mkuu kuisha wale wote waliopita kwenye nafasi ya Ubunge wanasubiri shughuli ya kuapishwa halafu Vikao vya Bunge vinaanza.
Nimeipata Ratiba ya kitakachoendelea Dodoma kwa jumla ya siku saba mfululizo, yani kuanzia jana November 13  mpaka November 20 2015… Ratiba yenyewe hii hapa.
Bunge
Bunge II Bunge III
MAGHEMBE
Mbunge Mteule wa Jimbo Mwanga K’njaro, Prof. Jumanne Maghembe akiwasilisha nyaraka zake wakati wa kusajiliwa Bungeni Dodoma.
NGELEJA
Mbunge Mteule wa Sengerema, William Ngeleja nae kwenye foleni ya usajili katika Viwanja vya Bunge Dodoma.
Prof JAY
Joseph Haule a.k.a Professor Jay alipost hii picha kwenye ukurasa wake wa Instagram jana, halafu akaandika >>> ‘Hi everybody, MJENGONI DAY ONE!!!
WABUNGE
Wabunge wengine pia wakiendelea na utaratibu wa kusajiliwa Dodoma.
==>Millardayo.com


author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top