Kingine ambacho nimekishuhudia kama kipya kwenye channel kubwa ya muziki Afrika MTV BASE ni hii video mpya ya Joh Makini iitwayo ‘Don’t Bother’ aliyomshirikisha AKA ambayo imechezwa kwa mara ya kwanza kwenye TV Novemba 10, 2015 ambapo wakati ukiisubiria video yenyewe nimekuchukulia hizi picha chache ikiwa inachezwa.
Loading...
Home » Unlabelled » JOH MAKINI NA VIDEO YAKE MPYAAAAAAAA...SOMA HAPA UPATE MENGI KUHUSU STAA HUYU NA NA NGOMA YAKE MPYA...
Post a Comment