Novemba 9, 2015 kulikuwa na headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusiana na video ikionesha Askari wa usalama wa barabarani anayefahamika kwa jina la Anthony Temukutoka kituo cha polisi kinachojulikana kama Kabutu huko Tanga akijihusisha katika tendo la rushwa.
Sasa taarifa iliyonifikia ni kwamba askari huyo aliyeonekana katika mitandao jana akipokea rushwa Kabuku, Tanga amefukuzwa kazi na kukabidhiwa kwa TAKUKURU kwa mashitaka ya Rushwa.
==>Millardayo.com
Post a Comment