Leo Novemba 12, 2015 kimefanyika kikao cha kamati kuu ya chama cha mapinduzi jijini Dar es Salaam, kikao kimeongozwa na mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete. Rais John Magufuli amehudhuria kikao cha halmashauri kuu kwa mara yake ya kwanza.
Picha kwa hisani ya Michuzi
Post a Comment