Taasisi ya Mifupa ya MOI imeanza kutekeleza agizo la Rais Daktari John Pombe Magufuli kwa kumfikisha Mgonjwa Chacha Makenge kwenye kipimo cha MRI nje ya hospitali hiyo ili aweze kuanza matibabu mara moja. Hongera sana Rais kwa kuwakumbusha wajibu wao. Pia hongereni Muhimbili kwa kuanza utekelezaji wa agizo la Rais mapema sana.
==>storyzawakubwa.blogspot.com
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Tuesday, 10 November 2015
Post a Comment