Social Icons

Loading...

MAGAZETINI LEO NOVEMBA 17,Rais John Magufuli atua Bandarini,MRI zaharibika tena Muhimbili,Edward LowassaSeif awatesa CCM,Wagombea urais FIFA wajulikana,Kocha Mkwasa lawamani...soma zaidi hapa...

Leo November 17 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.
DSC02394 DSC02395 DSC02396 DSC02397 DSC02398 DSC02399 DSC02400 DSC02401 DSC02402 DSC02403 DSC02404 DSC02406 DSC02407 DSC02408 DSC02409 DSC02410 DSC02411 DSC02412 DSC02413 DSC02414 DSC02415 DSC02416 DSC02417 DSC02418 DSC02419 DSC02420 DSC02421 DSC02422 DSC02423 DSC02424 DSC02425 DSC02426 DSC02427 DSC02428 DSC02429
Rais John Magufuli atua Bandarini, TPA yapunguza watendaji 30, pepo la ukwepaji kodi lafika mwisho, Mashine za kipimo cha MRI zaharibika tena Muhimbili, Edward LowassaSeif awatesa CCM, wachimbaji waokolewa baada ya kufukiwa ardhini kwa siku 41 na nyumba 45 za bomolewa Dar es salaam, Kurasini.
Wiki moja baaada ya kutengenezwa kwa mashine za MRI katika Hospitali ya Muhimbili, mashine hizo zaharibika tena katika hospitali hiyo jana baada ya kuwahudumia wagonjwa 21… BAVICHA imetoa siku tatu kwa jeshi la polisi kuwafikisha Mahakamani wale wote waliohusika kwenye mauaji ya Mwenyekiti wa CHADEMAGeita.
Baada ya kufanya matembezi kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukagua mashine za MRIRais John Magufuli amefanya ziara nyingine Bandarini na kukagua mashine za kupima mafuta na kisha kuzitaka zianze kufanya kazi, awali zilizokuwepo zilikatazwa na wakala wa vipimo WMA kutumika kwa madai ya kuwa zinawapunja wateja.
Wakati Bunge la 11 likitegemea kuanza vikao vyake leo, kuna taarifa ya kuwepo kwa kile kinachodaiwa kuwa mvutano wa chini chini baina ya Waubunge wa CCM na Rais Dk. John Magufuli kuhusu nani anaestahili kupitishwa kuwa mgombea wa nafasi ya Naibu Spika huku Job Ndugai apitishwa bila kupingwa… Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA wamemteua, Goodluck Ole Medeye kutoka CHADEMAkusimama katika nafasi ya uspika.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top