Mkoa wa Arusha wakiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi leo Novemba 14, 2015 mgombea Ubunge kupitia tiketi ya UKAWA, Godbless Lema alifanya mkutano jimbo lake kuhusiana na Uchaguzi utakaorudiwa jimboni hapo siku ya tarehe 13, Desemba, 2015 wa kumchagua Mbunge.
Loading...
Home » Unlabelled » UKAWA WAUNGANA TENA KUMPIGIA LEMA KAMPENI ARUSHA MJINI,MBATIA,PROF,LEMA NA WENGINEO,ANGALIA PICHA ZA MKUTANO HAPA...
Post a Comment