Social Icons

Loading...

MAKUNDI YA KOMBE LA CHALLENGE 2015 HAYA HAPA...JE YATAFANYIKIA WAP?? TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZIPO MAKUNDI YAPI???SOMA HAPA...

Tukiwa bado akili na macho ya watanzania wengi yapo katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 Urusi, ambapo Taifa Stars itacheza mechi ya kwanza naAlgeria November 14 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, shirikisho la soka ukanda wa Afrika Mashariki na kati (CECAFA) limetangaza Makundi matatu ya timu zitakazocheza michuano ya Challenge inayotarajia kuanza November 21 na kumalizika December 6.
KUNDI A
  1. Ethiopia
  2. Tanzania
  3. Zambia
  4. Somalia
KUNDI B
  1. Burundi
  2. Djibouti
  3. Kenya
  4. Uganda
KUNDI C
  1. Rwanda
  2. Sudan
  3. Sudan Kusini
  4. Zanzibar
Hata hivyo ratiba ya michuano hiyo bado haijatoka zaidi ya CECAFA kutangaza tarehe ya kuanza kwa michuano hiyo itakayofanyika Ethiopia. Timu ya taifa ya Kenya ndio Mabingwa watetezi wa Kombe hilo ambalo walitwaa mara ya mwisho mwaka 2013 Nairobi kwa kuifunga Sudan.
==>>Millardayo.com

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top