Kiongozi wa kanisa la katoliki duniani Papa Francis muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa JKIA nchini Kenya jioni hii
Aidha baada ya kutua,kulikuwepo na taarifa za kuhofia usalama wake ,ila yeye alichokisema ni kuwa hana wasiwasi na usalama wake ila anachokihofia ni MBU,Alisema MBU ni kiumbe kidogo ila kina madhara makubwa na malaria umekuwa ugonjwa unaosumbua duniani kote ambao unasababishwa na MBU.
==>E fm
Post a Comment