Social Icons

Loading...

WAJAWAZITO WAFICHUA MADUDU MOUNT MERU HOSPITAL,LOWASSA JUKWAANI ARUSHA MJINI,JPM NA VIGOGO,MWENYEKITI BAWACHA ARUSHA AFUNGUKA MAKUU...KAMA UCHAMBUZI WA MAGAZETI UMEKUPITA HUU HAPA...

Wajawazito wafichua madudu ya hospitali ya mkoa wa Arusha, Mt. Meru baada ya kukosa vipimo muhimu kama Ultra-sound na hivyo kulazimika kwenda hospitali binafsi ili kupata huduma hiyo, vita dhidi ya ujangili inazidi kupamba moto baada ya majangili kumi na mbili kutiwa mbaroni baada ya kukutwa na silaha nzito za kivita, bunduki 3, risasi kadhaa na meno mawili ya tembo.
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia CHADEMA, Edward Lowassa anatarajia kupanda jukwaani jumamosi hii kumuombea kura Mgombea Ubunge wa CHADEMA jimbo laArusha mjiniGodbless Lema… Dk. Benson Bana wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam amesema tatizo linalotokea Zanzibar sasa hivi ni zaidi ya Uchaguzi hivyo wakae na kumaliza tatizo hilo wenyewe na sio kukaa na kuwasubiri watu wa nje waje kuwaletea suluhisho.
Mamlaka ya mapato Tanzania, TRA imesema kuanzia sasa inaanza kutekeleza agizo laRais Dkt. John Magufuli la kuwakamata wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi na kuwaweka hadharani pamoja na kuwafikisha kwenye vyombo vya dola.
Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya Arusha, Happy Charles ametishia kuongoza wanawake kutembea uchi barabarani endapo tume ya taifa NEC kwa kushirikiana naCCM watawapora ushindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arusha mjini.
==>Millardayo.com

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top