Tayari Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete alishaweka baraka zake kwenye ujenzi wa uwanja mpya wa ndege wa kimataifa Dar es salaam na ujenzi ukaendelea na mpaka sasa hatua zilizobaki kumalizika ni chache kuliko walikotoka… hizi video fupi za sekunde 30 zilizopigwa kutoka ndani ya ndege zitakuonyesha uwanja wenyewe ulivyofikia
Loading...
Post a Comment