Baada ya kufanya vizuri kwenye hit single ya Cheza kwa Madoido sasa time hii Yamoto Band wamefanya collabo na wasanii kutokea Nigeria maarufu kama Bracket.
Akizungumza kwenye exclusive interview na Ayo TV Asley alithibitisha kwamba waliombwa collabo na wasanii hao kutokea Nigeria…‘Kwasasa tumetumiwa wimbo na Bracket yaani wameomba kufanya collabo na sisi Yamoto Band nafikiri collabo hiyo ikiwa tayari tutawajulisha mashabiki’ – Asley
‘Sisi kama Yamoto Band tutaimba kwa lugha ya hapa nyumbani kiswahili halagu Bracket wataimba lugha yao wanayoitaka kama kingereza sawa kama Kinigeria sawa’ – Asley
Post a Comment