Social Icons

Loading...

STAA MESI KATIKA ENZI ZAKE ZA UTOTO...KUMBE MPIRA ALIANZIA MBALI EE..TAZAMA PICHA MBALIMBALI HAPA...

Lionel Messi ni mmoja kati ya wachezaji wa viwango vya Dunia lakini sifa ya kipekee aliowahi kuipata ni kuweka rekodi ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia mara nne, hii ikiwa ni rekodi ya kipekee kwa staa huyo wa FC Barcelona ya Hispania, Alhamisi ya November 12 naomba nikusogezee TBT pichaz zake za utoto ambazo hadi FC Barcelona wanamsajili alikuwa anatajwa kuwa na tatizo la ukuaji.
FC+Barcelona+v+RCD+Mallorca+Liga+BBVA+lUKisKMICS2x
Staa huyo wa FC Barcelona alianza kucheza soka akiwa na miaka minne katika klabu ya Grandoli, mtu wa kwanza kuchangia kumuhamasisha Lionel Messi kucheza soka katika enzi zake za utoto ni bibi yake  Celia ambaye alifariki kabla ya Lionel Messi hajatimiza miaka 11. Kifo hicho kilimuathiri Messi hadi leo ndio maana akifunga goli huwa ananyoosha vidole vyake viwili juu na kufanya ishara ya msalaba, kitu ambacho kinatajwa kama ishara ya kumkumbuka bibi yake.
tumblr_lyo4807yK21qevwec
Lionel Messi aliyeshika mpira
soc_rosario_08
Lionel Messi akiwa na timu yake ya utoto ya Grandoli wakati ambao alikuwa na umri wa miaka minne (Messi wa pili kutokea kulia katika mstari wa watoto waliosimama)
tumblr_lyo42qSdAc1qevwec
Lionel Messi aliyebebwa picha yake imezunguushiwa kibox
tumblr_lyo44bNg481qevwec
Lionel Messi na familia yake
tumblr_lyo46sDmgP1qevwec
Lionel Messi picha yake imezunguushiwa kibox katika watu waliochuchumaa
tumblr_lyo4679Ilt1qevwec
Lionel Messi mwenye mpira

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top