Social Icons

Loading...

Maamuzi ya Mahakama Kuu Dar kuhusu bomoabomoa bonde la Msimbazi yametolewa leo..

Bomoabomoa ilianza mwisho wa mwaka 2015 kwenye maeneo mbalimbali ambayo yalitajwa kwamba ni mabondeni, maeneo ya wazi na mengine ambayo kisheria hayakutakiwa kuwa na makazi ya watu.
Zoezi lilisimama kwa muda, baadae zikaanza kupitishwa alama za ‘X’ kwa maeneo ambayo bomoabomoa ingefatia, wapo waliofikisha kesi Mahakamani kupinga zoezi hilo… lakini ninazo Updates za hukumu ya kesi hiyo Mahakama Kuu kitengo cha ardhi Dar es Salaam.
Mahakama-KUU
Mahakama hiyo imeagiza zoezi la bomoabomoa kusitishwa kwa nyumba zilizoko eneo labonde la mto Msimbazi Dar, na wamiliki wa nyumba hizo wamepewa siku 60 za kufungua kesi ya msingi Mahakamani kuhusu bomoabomoa.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top