Social Icons

Loading...

BELL 9 AMJIBU VIKALI DIAMOND PLATNUMZ,SOMA JUMBE ALIZOANDIKA HAPA...

Ni masaa machachetu tangu kusambaa kwa ujumbe ulioandikwa kupitia Instagram account ya staa wa bongo fleva Belle 9 ikionyesha kumdiss staa mwenzake bongoflevaniDiamond Platnumz, ujumbe wenyewe ulisomeka hivi>>>2016-03-03-05.55.04
Lakini kupitia account yake hiyohiyo, Belle 9 akaandika ujumbe huu mwingine uliosomeka,>>>
BELEEE
#Samaqhani ndugu watanzania kwa usumbufu uliojitokeza ,samahani sana kwa mwanamuziki mwenzangu@Diamondplatnumz #emailmnayoiona hapo juu ndio ya hacker aliekua anapost na kutukana watu ,tunaenda kureport na kama kuna mtu anaweza kutusaidia kuitrack hii email tunamuomba msaada wake…..asante sana @Kingkapita@kapitatechnologylimited kwa kunisaidia kurudisha account yangu #Mungu akubariki #polesana kwa niliowakwaza

==>millardayo.com

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MAWINGUBONGO
Back To Top